Poa Communication Services Limited

Jiandikishe Upate Huduma Bora Unayoihitajia Kwa Wepesi Sana


Ukijiandikisha na kuwemo kwenye timu yetu ya mawakala utanufaika na yafuatayo:

  • 1. Kupatiwa Cash na Flot kwa haraka sana.
  • 2. Kujiwekea mwenyewe Flot kwa kupitia huduma ya benki yako.
  • 3. Mawasiliano na huduma kwa wateja (customer services) hadi saa sita za usiku.
  • 4. Mawasiliano ya papo kwa papo kupitia mobile app yetu.

Contact Information